AFRIKA TUNAYOITAKA CHANGAMOTO NA MATARAJIO YA AFRIKA YA KISASA

Afrika, bara lenye utajiri wa tamaduni anuwai na maliasili, linakabiliwa na changamoto nyingi kijamii, kiuchumi na kisiasa. Umaskini, njaa, maradhi, migogoro ya kisiasa, kiwango cha juu cha vifo na makadirio ya chini ya umri wa kuishi,hizi siyo changamoto zinazoikumba Afrika, bali ni matatizo yanayotokana na changamoto halisi, zinazoikumba Afrika. Makala hii inalenga kuhamasisha vijana na Waafrika kwa ujumla, katika kutekeleza Ajenda ya Afrika mpya kuelekea 2063. Aidha,inachunguza changamoto na matarajio ya Afrika ya sasa, na kutoa mapendekezo yenye mlengo wa kujenga Afrika yenye nguvu, mshikamano na maendeleo endelevu.[2]

Авторы
Язык
Английский
Страницы
286-290
Статус
Опубликовано
Год
2024
Организации
  • 1 RUDN
Ключевые слова
Utengano; Utambuzi wa Wataalamu; Uongozi; Uharibifu wa Mazingira; Uwezeshwaji wa Vijana
Цитировать
Поделиться

Другие записи

Аватков В.А., Апанович М.Ю., Борзова А.Ю., Бордачев Т.В., Винокуров В.И., Волохов В.И., Воробьев С.В., Гуменский А.В., Иванченко В.С., Каширина Т.В., Матвеев О.В., Окунев И.Ю., Поплетеева Г.А., Сапронова М.А., Свешникова Ю.В., Фененко А.В., Феофанов К.А., Цветов П.Ю., Школярская Т.И., Штоль В.В. ...
Общество с ограниченной ответственностью Издательско-торговая корпорация "Дашков и К". 2018. 411 с.